Luke 9:7

7 aBasi Mfalme Herode, mtawala wa Galilaya, alisikia habari za yote yaliyotendeka. Naye akafadhaika, kwa kuwa baadhi ya watu walikuwa wakisema Yahya Mbatizaji amefufuliwa kutoka kwa wafu.
Copyright information for SwhKC